safina women

WOMEN HAVE THE RIGHT TO OWN LAND

TAARIFA YA UZINDUZI WA MATOKEO YA UTAFITI WA ELIMU (TWAWEZA)

Shirika la SAFINA Women Association la Njombe lilishiriki kufanya tathmini inayoendeshwa na TWAWEZA EAST AFRICA kupitia UWEZO mwaka 2015, katika Halmashauri ya Mji Njombe. Tathmini hiyo ilifanyika tarehe 16 na 17/10/2015 katika maeneo 30 ya utafiti, zilifikiwa shule 30 na kaya 600. Baada ya tathmini kukamilika taarifa ilipelekwa UWEZO kukamilisha kuunganisha taarifa hiyo Kitaifa. Tarehe...

Read More